Recent News and Updates
Balozi Mhandisi Aisha S. Amour afanya mazungumzo na Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait
Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, afanya mazungumzo na Mhe. Abdulwahab Ahmed Al-Bader, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait (Kuwait Fund) katika ofisi za Makao Makuu ya Mfuko huo. Mazungumzo… Read More
Balozi Mhandisi Aisha S. Amour afanya mazungumzo na Bw. Osama Abdul Mohsen Abdulla Al Roudhan
Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait afanya mazungumzo na Bw. Osama Abdul Mohsen Abdulla Al Roudhan, Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Al Faoz General Tranding and Construction Company. … Read More