Balozi Mhandisi Aisha S. Amour afanya mazungumzo na Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, afanya mazungumzo na Mhe. Abdulwahab Ahmed Al-Bader, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait (Kuwait Fund) katika ofisi za Makao Makuu ya Mfuko…

Read More

Balozi Mhandisi Aisha S. Amour afanya mazungumzo na Bw. Osama Abdul Mohsen Abdulla Al Roudhan

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait afanya mazungumzo na Bw. Osama Abdul Mohsen Abdulla Al Roudhan, Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Al Faoz General Tranding and Construction…

Read More

Kampuni ya TanChoice yaanza kuuza nyama nchini Kuwait

Kampuni ya Tanchoice ya Tanzania imeanza kuuza Nyama ya Ng'ombe, Mbuzi na Kondoo kutoka Tanzania nchini Tanzania.  Nyama hiyo inapatikana katika maduka ya vyakula ya LULU HYPERMARKETS ya nchini Kuwait.

Read More

Balozi Mhandisi Aisha S. Amour afanya mazungumzo na Sheikh Yousef Abdullah Sabah Al-Nasser Al-Sabah

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, atembelea Ofisi za Mamlaka ya Bandari ya Kuwait na kukutana na kufanya mazungumzo na Sheikh Yousef Abdullah Sabah al-Nasser Al-Sabah, Mkurugenzi Mkuu…

Read More

Tanzania - Kuwait Fund yasaini Makubaliano ya Mradi wa Umwagiliaji wa Bonde la Mto Luiche

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Kuwait, ametia saini Hati ya Makubaliano ya Mradi wa Umwagiliaji wa Bonde la Mto Luiche kati ya Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait (Kuwait…

Read More