Bilateral Relation Change View → Listing

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour akutana na Sheikh Fawaz Al-Khaled Al-Hamad Al Sabah, Gavana wa Ahmadi

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, leo tarehe 9/3/2020 atembelea ofisi za Gavana wa Mkoa wa Ahmadi, Kuwait na kufanya mazungumzo na Mhe. Sheik Fawaz Al-Khaled Al-Hamad Al-Sabah, Gavana…

Read More

Mhe. Balozi Mhandisi Aisha S. Amour akutana na Mhe. Balozi Abdulhamid Al-Failakawi

Mhe. Balozi Mhandisi Aisha s. Amour afanya mazungumzo na Mhe. Balozi Abdulhamid Al-Failakawi, Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje ya Kuwait anayeshughulikia masuala ya Bara la Afrika kwa lengo la kuendeleza …

Read More