News and Events Change View → Listing

Balozi Mhandisi Aisha S. Amour afanya mazungumzo na Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, afanya mazungumzo na Mhe. Abdulwahab Ahmed Al-Bader, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait (Kuwait Fund) katika ofisi za Makao Makuu ya Mfuko…

Read More

Balozi Mhandisi Aisha S. Amour afanya mazungumzo na Bw. Osama Abdul Mohsen Abdulla Al Roudhan

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait afanya mazungumzo na Bw. Osama Abdul Mohsen Abdulla Al Roudhan, Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Al Faoz General Tranding and Construction…

Read More

Balozi Mhandisi Aisha S. Amour afanya mazungumzo na Sheikh Yousef Abdullah Sabah Al-Nasser Al-Sabah

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, atembelea Ofisi za Mamlaka ya Bandari ya Kuwait na kukutana na kufanya mazungumzo na Sheikh Yousef Abdullah Sabah al-Nasser Al-Sabah, Mkurugenzi Mkuu…

Read More

Tanzania - Kuwait Fund yasaini Makubaliano ya Mradi wa Umwagiliaji wa Bonde la Mto Luiche

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Kuwait, ametia saini Hati ya Makubaliano ya Mradi wa Umwagiliaji wa Bonde la Mto Luiche kati ya Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait (Kuwait…

Read More

Mhe. Eng. Aisha S. Amour akiwa na Sheikh Mohamed Al-Sabah, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Kilimo na Uvuvi

Tarehe 10 Machi, 2020, Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, atembelea ofisi za Mamlaka ya Kilimo na Uvuvi ya Kuwait na kufanya mazungumzo na Mtukufu Mohamed Al-Yousef Al-Sabah, Mkurugenzi…

Read More

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour akutana na Sheikh Fawaz Al-Khaled Al-Hamad Al Sabah, Gavana wa Ahmadi

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, leo tarehe 9/3/2020 atembelea ofisi za Gavana wa Mkoa wa Ahmadi, Kuwait na kufanya mazungumzo na Mhe. Sheik Fawaz Al-Khaled Al-Hamad Al-Sabah, Gavana…

Read More

Mhe. Balozi Mhandisi Aisha S. Amour akutana na viongozi wa Al Homaizi Food Industry

Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour amekutana na viongozi wa Kampuni ya Al Homaizi Food Industry ambayo ni Kampuni mama ya AlRifai kuhusu fursa za uwekezaji na biashara nchini Tanzania.

Read More

Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania Kuwait, akutana na Mfanyabiashara Bw. Mohammad Turki

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini kuwait akutana na kufanya mazungumzo na Bw. Mohammad Turki, Rais wa Makampuni ya Turki Mills na Al-Oqoud General & Trading Construction Co. kwa madhumuni…

Read More