Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, leo tarehe 9/3/2020 atembelea ofisi za Gavana wa Mkoa wa Ahmadi, Kuwait na kufanya mazungumzo na Mhe. Sheik Fawaz Al-Khaled Al-Hamad Al-Sabah, Gavana wa Mkoa wa Ahmadi.  Mkoa wa Ahmad ni kati ya Mikao saba iliyopo nchini Kuwait, Mikoa mingine ni Hawally, Jahra, Mubaraka Al Kabeer, Kuwait, Asimah na Farwaniyah

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, akipokea zawadi kutoka kwa Mhe. Sheikh Fawaz Al-Khaled Al-Hamad Al Sabah, Gavana wa Mkoa wa Ahmadi,  Kuwait

Mhe.  Mhandisi Aisha S. Amour, akiwa na Mhe. Sheikh Fawaz Al-Khaled Al-Hamad Al Sabah pamoja na Maafisa wa Ubalozi Bi. Mtumwa S. Bakari na Bw. Yussuf A. Juma.